Skip to main content

Posts

Featured

TANGAZO MAALUM

                                                        TANGAZO,TANGAZO Naitwa Pastor Baraka Audax: Nichukue nafasi his kuwaomba radhi watumishi wa Mungu ambao mmekuwa mkifatilia masomo mbali mbali kwenye page hit kwamba tulikatiza vipindi na masomo mbali mbali kwasababu ya sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wetu hivyo nakuomba sana usiache kufatilia kwani tumerudi hewani  na tutakuwa tunaweka masomo  mengi sana kwa ajili ya wale wanaojifunza na miujiza na uponyaji vitakuwa vinafanyika  kwako na wala usishangae.

Latest Posts

UNAPOMTOLEA MUNGU SADAKA ZAKO NZURI UTUNZE UTAKATIFU WAKO

: MAOMBI YA KUTUBU KWA AJILI YA CHANZO CHA MAGONJWA UNAYOTAKA YAONDOKE KWAKO AU KWA UNAOWAOMBEA.

MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO VILIVYOTUFUNGA NA VILIVYOTUZUNGUKA.

MPE BWANA KIPAUMBELE KATIKA KUMTUMIKIA.

SOMO: UTUMISHI KATIKA KANISA.