Skip to main content

Posts

Featured

                        SOMO:                          MAOMBI YA KUFUTA LAANA ZINAZOTUFATILIA . Utangulizi. Laana ni maneno yanayotamkwa kinyume na Baraka,katika maisha ya mtu. Mfano. Yesu  alipouendea  mtini ili apate kula  matunda  yake alipoona hauna matunda  aliulaani ukakaukaa mara moja.   Marko 11:11-14.   Na asubuhi yake  wanafunzi  walipopita  kwenye  ule mtini waliukata   umenyauka   Marko 11:20. Laana inaweza kuwa ni ya maneno au kuwa ya kufanya wewe mwenyewe. REUBENI : Alilala  na Suria  wa baba  yake  akajipatia  laana kutoka  kwa  Baba yake YAKOBO, kipindi Yakobo  anawabariki  wanawe  yeye hakumbariki bali  alimlaani  asiwe  na UKUU WOWOTE.   Mwanzo 49:3-4.  Hii  ilikuwa laana ya REUBENI kujitengenezea  yeye  Mwenyewe  na wapo Watu wengi mno ambao wamejitakia laana kwa kufanya weneywe kwa mikono yao wenyewe. Mfano unakuta  kijana anampiga mama yake mzazi au Baba yake mzazi ata kama mzazi amekukosea  vipi  hutakiwi  kumpiga  au kumnfokea  yule

Latest Posts

: MAOMBI YA KUTUBU KWA AJILI YA CHANZO CHA MAGONJWA UNAYOTAKA YAONDOKE KWAKO AU KWA UNAOWAOMBEA.

MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO VILIVYOTUFUNGA NA VILIVYOTUZUNGUKA.

MPE BWANA KIPAUMBELE KATIKA KUMTUMIKIA.

SOMO: UTUMISHI KATIKA KANISA.

TUMERUDI HEWANI TENA BAADA YA KUTUKOSA KWA MDA MREFU SANA.