TANGAZO MAALUM
TANGAZO,TANGAZO
Naitwa Pastor Baraka Audax: Nichukue nafasi his kuwaomba radhi watumishi wa Mungu ambao mmekuwa mkifatilia masomo mbali mbali kwenye page hit kwamba tulikatiza vipindi na masomo mbali mbali kwasababu ya sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wetu hivyo nakuomba sana usiache kufatilia kwani tumerudi hewani na tutakuwa tunaweka masomo mengi sana kwa ajili ya wale wanaojifunza na miujiza na uponyaji vitakuwa vinafanyika kwako na wala usishangae.
Comments
Post a Comment