TUMERUDI HEWANI TENA BAADA YA KUTUKOSA KWA MDA MREFU SANA.

Injili  ya  Kristo  ZANZIBAR tunaomba  radhi  kubwa  sana  baada  ya  kutokuwa  hewani  kwa mda  mrefu   kwa  sababu   ya  sababu  ambazo  ziko  juu  ya uwezo  wetu.Tunapenda  kuwajulisha  kuwa  kwa  namna  yoyote ile  ambayo  tumewakwaza   tunaomba  radhi  na  tupo  hewani   kuanzia  sasa.
Hatukuwa hewani kutokana na sababu kubwa muhimu kwa kipindi cha  miaka kadhaa sikuwa TANZANIA na hiyo imesababibisha baadhi ya wadau wa masomo yangu  kukosa vitu vipya kila siku lakini nachukua fursa hii kuwatakeni radhi naombeni mnisamehee na sasa ninarudi hewani kwa kishindo .

Mbarikwe saana wana wa MUNGU kwa kunisamehe  na kunielewaa


KARIBU  TUENDELEE  NA  MWAKA  MPYA

MBARIKIWE  SANA

Baraka  Audax

Injili  ya  Kristo  Zanzibar

Comments

Popular Posts