STEVE IBRAHIM MGAYA, Mganga na mchawi alikamatwa na nguvu Mungu leo
wakati ibada ikiendelea, Rev. Katunzi alimuongoza Sala ya toba.
Vifaa vya kichawi
Fimbo na sanda za misukule
BAADA YAKUKABIDHI VIFAA VYAKE REV. KATUNZI ALIMUONGOZA SALA YA TOBA NA KUMUOMBIA STEVE IBRAHIM MGAYA.
Kutokana na nguvu ya MUNGU aliyonayo REV FJ KATUNZI iliweza kumdondosha chini
Picha hiyo hapo chini ni STEVE IBRAHIM MGAYA akiwa anagara gara chini mapepo na majini yakimtoka kwa JINA LA YESU ALIYE HAI
Comments
Post a Comment