Zaburi 32:1-2 Heri aliyesahamewa dhambi,na kusitiriwa makosa yake.Heri BWANA aiyemesabia upotovu .Ambaye rohoni mwake hamna hila.NDUGU Yangu mtu wa Mungu usibabaishwe na watu wenye hila mioyoni mwao yawezekana wanakuangalia kwa hila. Wawe wafanyakazi wenzako au bosi zako au majirani na marafiki ,Lakini wewe mtazame BWANA aliyekuumba.Atawapukutisha ka majani.

Comments

Popular Posts