TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU LIMEWABARIKI MAELFU WATU WENGI ZANZIBAR
HIVI NDIVO ILIVYOKUWA KATIKA TAMASHA LA NYIMBO ZA INJILI ZANZIBAR.
Tamasha ilo lilihudhuriwa na maelfu ya watu wa dini zote WAKRISTO, WAISLAMU.na WAPAGANI. Kwakweli lilikuwa ni faraja kubwa kwa maelfu ya watu na watu wengi walifunguliwa na kuponywa kwa jina la YESU KRISTO.
Baadhi wa watu waliofika walimpokea YESU KRISTO awe ni Bwana na mwokozi wa maisha yao.
Baada ya tamasha kufunguliwa kwa maombi MCHUNGAJI DANIEL hapo chini alitoa neno liliokuwa na ujumbe ufuatao:.
MAKANISA YOTE ZANZIBAR TUDUMISHE UMOJA WA KWELI :
Mtumishi wa MUNGU alitofautisha katia ya umoja wa roho na umoja wa kweli
Umoja wa kweli katika makanisa yote hauna madhara yoyote, kwa masilai ya mtu mmoja au kundi lolote.
ROHO YA KUBAGULIWA :
1: Roho ya kubaguliwa inatawala sana hapa ZANZIBAR na inaumiza sana kwa watoto wa Mungu na inawanyanyapaa na hivyo uwakosesha uhuru wa kuabudu na kusifu Mungu aliye hai.Kwani wakati wa kusifu na kuabudu utishiwa kuchomewa makanisa .Waamuzi 11:1-11.
2: Usimbague mtu aliye umbwa na MUNGU ( Mwanzo 4:6)
3: Aliendelea kusema kuwa roho ya kukataliwa inauwa sana na inaweza kusabisha magomvi na uwaduwi.
4: Kaini kwasababu alikataliwa na MUNGU roho ya kukataliwa ilimsumbua sana kila alipokuwa akienda.
Mwisho alihitimisha kwa kufanya maombezi makubwa dhidi ya kisiwa cha ZANZIBAR.
Na baada ya hapo tamasha rasmi la kumtukuza MUNGU lilianza.
BARAKA AUDAX
0717 461006.
INJILI YA KRISTO ZANZIBAR
BARIKIWA SANA WATU WA MUNGU

- Hao ni waimbaji wa kwaya ya Full pentecoste Tomondo Zanzibar wakimtukuza Mungu aliye hai.
2: Hiyo ni kwaya ya KKKT MWANAKWEREKWE walioungana na kwaya nyingine nyingi katika kusifu na kuabudu yaliyofanyika kwenye tamasha.4:Mwimbaji wa nyimbo za Injili Hapo juu aliyevaa kaunda suti ni Mwano Emiliano akimwimbia BWANA wimbo wa MWANADAMU.5:Bumbusudi kwaya hapo juu na chini wakimtukuza BWANA kwa wimbo uitwao BWANA YESU NDIYE UZIMA.
- 6: Picha hizo hapo juu ni waimbaji wa kwaya ya TAG Kariakoo Zanzibar wakimtukuza BWANA kwa wimo wao unaotamba kwa sasa uitwao TULETE MAVUNO KWA YESU .Nina amini utakuwa umebarikiwa ndugu yangu.
BARAKA AUDAX
0717 461006.
INJILI YA KRISTO ZANZIBAR
BARIKIWA SANA WATU WA MUNGU
Mungu ni mwema sana maishani mwetu
ReplyDelete