Matukio mbalimbali katika kanisa la EAGT CITY CENTRE
Mchungaji Flarian Katunzi akiomba Juu ya Taifa la Tanzania |
Waumini wa Kanisa la EAGT CITY CENTRE wakiomboleza katika maombi ya kuombea Taifa
Mchungaji Florian Katunzi akifanya maombezi
Watu wakiwa wanaudumiwa na Nguvu za Mungu |
Mchungaji Katunzi akipita katikati ya kundi la watu na kuwaombea unaweza kuona jinsi walivyo wengi na atamuombea kila mmoja |
Comments
Post a Comment