NEEMA MAALUM.
Neema maalum.
Ni
zawadi ya kimungu
anayopewa mwanadamu asiyestahiri.
Mfano:Daudi, Essau,Yusufu n,k.
KAZI YA
NEEMA MAALUM.
1:Itanitafta
Mfano:Daudi neema
ilipowadia ya kuwa
Mfalme alitafutwa porini
alipokuwa akichunga kondoo,Mbuzi,Ng’ombe n.k.
Unapofikia wakati Mungu anataka kukutumia katika jambo la Kimungu utafuatwa mahali popote utakapokuwa.
Napenda nikutie moyo ndugu yangu mpendwa unayesoma ujumbe huu ya kuwa Mungu anao mpango mzuri wa maisha yako na ndo maana leo umependa kusoma ujumbe huu wa Kimungu,wakati watu wengine wanaona post hii wanaiacha wewe umepata kuipenda na kuisoma.Hiyo ni ishara kubwa kuwa Mungu anakutafta abadilishe maisha yako na vizazi vya watoto wako. Naamini kuwa utabalikiwa wewe na vizazi vyako kwa maana umekubali kusikia sauti ya Mungu na kuitii kwa kupenda kusoma ujumbe wa Mungu.
2:
Hubadilisha jina.
Mpango
wa Mungu ukitimia hata
jina lako linabadilika.
Mfano. Mwanzo 17:5 : Maneno ya Mungu yanasema :.
Wala jina lako hutaitwa tena Abramu,kwani nimekuweka uwe Baba wa mataifa mengi.
na
Isaya 62:2-4. Na mataifa wataiona haki yako,na wafalme wote watauona utukufu wako; nawe utaitwa jina jipya,litakalotajwa kwenye kinywa cha Bwana.
Mpendwa ndugu yangu unayesoma ujumbe huu ukae ukijua kuwa Mungu anao mpango mkubwa wa amisha yako na wewe na ndo maana hadi leo bado unaendelea kuishi na kulipenda kulisoma neno la Bwana mahali popote unapokuwa bila kujali hali na mazingira uliyopo.
Wakati wako ukifika hata jina lako litabadilika kama watu walizoea kukuita majina mabaya ya ovyo ovyo sasa utaitwa jina jipya na zuri sana sema AMEN.
3: Neema
maalumu inakulinda na
dhambi.
-
Kwa neema maalum
yusufu alikataa kulala
na mke wa
POTIFA.
-
Kwa neema maalum
Yusufu alishindwa kuuwa
na ndugu zake.
-
Kwa neema maalum
DAUDI alimshinda GORIATH
-
Kwa neema maalum
Yakobo kauziwa uzaliwa
wa kwanza na
ESSAU.
-
Kwa neema maalum
DAUDI alimshinda GOLIATH.
-
Kwa neema maalum
YAKOBO kauziwa uzaliwa
wa kwanza na
ESSAU.
- Kwa neema maalum DAUDI alishindwa kuuawa na SAULI 4. Inakupandisha cheo 1: DAUDI mchungaji wa kondoo na kuwa MFALME 2: YUSUFU kutoka gerezani na kuwa mkuu wa misri.
Pia tunapata kuona kuwa YUSUFU cheo chake kilipanda sana katika ngazi mbali mbali:
- Kutoka kuwa mtumishi wa ndani kuwa msimamizi wa wafungwa.
Kwa hapo najua utakuwa umebarikiwa sana naamini kwa imani kubwa sana kuwa Mungu wa mbinguni atakupandisha cheon, nawe utabarikiwa wewe na uzao wa tumbu lako.
Pokea kwa imani kubwa sana maana najua utapokea yote kwa jina la Yesu aliye hai.
Ni mimi ndugu yako
Baraka Audax
0717 461006
Injili ya Kristo Zanzibar
BARIKIWA SANA.
Comments
Post a Comment