KARIBU TUJIFUNZE:
Mwanzo:6-9; Nuhu alikuwa
mtu wa haki
na mkamilifu mbele
za BWANA na katika vizazi
vyake vyote.
Mwanzo 6:18 Mungu anafanya agano
na Nuhu ili
liwe thabiti.
Mwanzo
18:23-33 Ibrahimu
anamuombea LUTU asiangamizwe.
Mwanzo 12:12
Wakuu wa
farao wanamsifu na kumpeleka kwa
mfalme ili awe
mme wake.
Mwanzo 12:17
Mungu anampiga
farao na nyumba
yake mapigo makuu
kwa ajili yua
sara mke wake ibrahimu.
Mwanzo 20:1 Ibrahimu anaenda nchi
ya kusini na kukaa katika
katika nchi nya kadeshi na shuri.
·
Abimeleki akamtwaa sara kuwa
mkewe ila M ungu
akamwambia Abimeleki mfalme umekua
mfu kwasababu ya mwanamke uliyemtwaa ni
mke wa mtu.
·
Kwa dhambi ya
kulala na make
wa mtu Mungu alikuwa amewafunga
matumbo ya wanawake
wote wasizae.
Mwanzo 39.Mke wa
potifa anamlaghai yusufu alale naye
kimapenzi ila kwasababu ROHO ya kumcha MUNGU ilikuwa
ndani yake aliweza
kuikimbia dhambi.
·
Yusufu anauzwa
na ndugu zake
na kuchukiwa kabisa.
- Mwanzo 37-Aliota ndoto na
kuwambia ngu zakea matokeo
yake wakamchukia na kumuuza
kwa Wamisri.
- Alisema matendo
yao watoto wa
Zilpa na Bilha,na ndugu
zake wakafanya shauri
la kumuua ila REUBENI
anasimama kumtetea ili kuokoa
nafsi yake isiuawe.
- Aliuzwa kwa Wamidiani.
- Wamidiani - Wamisri
- Wamisri - Potifa
MATENDO ALIYOMTENDEA
BWANA.
1:
Alikuwa ni mkuu
katika nyumba ya
Potifa yaani msimamizi wa
nyumba yakena mali zake.
2: Mungu anampa
kibali machoni poa
mkuu wa gereza
anakuwa msimamizi na mkuu
wa wafungwa.
3: Anatolewa
gerezani ili akatafsiri
ndoto za mfalme Farao.
4: Farao
anamuweka kuwa liwali
mkuu wa nchi
ya misri nzima
kwa a akusimamia mali zote
za mfalme.
Mungu akubariki sana mwana wa Mungu
Ni mimi ndugu yako
Baraka Audax
Injili ya Kristo Zanzibar.
0717 461006.
Comments
Post a Comment