TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU LIMEWABARIKI MAELFU WATU WENGI ZANZIBAR

HIVI  NDIVO  ILIVYOKUWA  KATIKA  TAMASHA  LA NYIMBO  ZA  INJILI  ZANZIBAR.

Tamasha ilo  lilihudhuriwa  na  maelfu  ya watu  wa  dini  zote  WAKRISTO, WAISLAMU.na WAPAGANI. Kwakweli  lilikuwa  ni  faraja  kubwa  kwa  maelfu  ya  watu na  watu  wengi  walifunguliwa  na  kuponywa  kwa  jina  la  YESU  KRISTO.

Baadhi  wa  watu  waliofika  walimpokea  YESU  KRISTO  awe  ni  Bwana  na  mwokozi  wa  maisha   yao.
Baada  ya tamasha  kufunguliwa  kwa  maombi  MCHUNGAJI  DANIEL  hapo  chini  alitoa  neno  liliokuwa  na  ujumbe  ufuatao:.
MAKANISA  YOTE  ZANZIBAR  TUDUMISHE  UMOJA  WA  KWELI :



Mtumishi  wa MUNGU  alitofautisha  katia  ya  umoja  wa  roho  na  umoja  wa  kweli

Umoja  wa  kweli  katika  makanisa  yote  hauna  madhara  yoyote, kwa  masilai  ya  mtu  mmoja  au  kundi  lolote.

ROHO  YA KUBAGULIWA :

1: Roho ya kubaguliwa  inatawala sana  hapa ZANZIBAR  na inaumiza sana kwa watoto wa Mungu na inawanyanyapaa  na hivyo uwakosesha uhuru  wa kuabudu  na kusifu  Mungu aliye hai.Kwani wakati wa kusifu na kuabudu utishiwa kuchomewa makanisa .Waamuzi 11:1-11.

2:  Usimbague  mtu aliye umbwa na MUNGU   ( Mwanzo 4:6)

3:  Aliendelea  kusema kuwa roho ya kukataliwa   inauwa  sana  na  inaweza  kusabisha  magomvi  na  uwaduwi.

4: Kaini  kwasababu   alikataliwa  na  MUNGU  roho  ya  kukataliwa  ilimsumbua  sana  kila  alipokuwa  akienda.

             Mwisho  alihitimisha  kwa  kufanya  maombezi  makubwa  dhidi  ya  kisiwa  cha  ZANZIBAR.

Na  baada  ya  hapo  tamasha  rasmi  la  kumtukuza  MUNGU  lilianza.





  1. Hao  ni  waimbaji  wa kwaya  ya Full pentecoste  Tomondo  Zanzibar  wakimtukuza  Mungu  aliye  hai.
    2: Hiyo ni kwaya  ya KKKT MWANAKWEREKWE   walioungana  na  kwaya  nyingine  nyingi  katika  kusifu  na  kuabudu  yaliyofanyika  kwenye  tamasha.

    3: Picha hiyo  hapo juu ni MRS MABUMBA akimwimbia  Mungu kwa  wimbo  wa mbegu  zilizopandwa  kwenye   shamba.
    4:Mwimbaji  wa  nyimbo  za  Injili  Hapo  juu  aliyevaa  kaunda  suti ni   Mwano Emiliano  akimwimbia  BWANA wimbo  wa  MWANADAMU.



    5:Bumbusudi   kwaya  hapo  juu  na chini  wakimtukuza  BWANA  kwa   wimbo  uitwao   BWANA  YESU NDIYE  UZIMA.




    1. 6: Picha   hizo hapo  juu  ni  waimbaji  wa  kwaya  ya  TAG Kariakoo  Zanzibar  wakimtukuza  BWANA  kwa  wimo  wao  unaotamba  kwa  sasa  uitwao TULETE  MAVUNO  KWA  YESU    .Nina  amini  utakuwa  umebarikiwa  ndugu  yangu.
Nimimi  ndugu  yako,
BARAKA  AUDAX
0717  461006.
INJILI  YA KRISTO  ZANZIBAR





                                 BARIKIWA  SANA  WATU  WA  MUNGU








Comments

Post a Comment

Popular Posts